Davis Mosha akitoa salam kwa wananchi wa kata ya Majengo baada ya kuwasili. |
Davis akitoa sera zake kwa wananchi wa kata ya Majengo siku ya julai 29 . |
Wananchi wakiwa kwenye harakati za kumuaga Davis Mosha Mosha baada ya kusikiliza sera zake.
Davis Mosha Alipowasili Kata ya Miembeni ambayo ni kati ya kata ilipo kwenye jimbo la Moshi Mjini .
Davis akimwaga sera zake kwa wananchi wa kata ya Miembeni julai 29.
Davis akizungumza jambo na mdau wa siasa baada ya kumaliza kutoa sera zake .
Akiagana na wanakata ya Miembeni ambapo pia ilikuwa ni mwisho wa ziara yake ya siku ya julai 29.
Davis Mosha ambaye anawania Ubunge wa Jimbo la Moshi Mjini amekuwa akitembelea wananchi wa jimbo lake na kuzungumza nao pia kusikiliza changamoto zao na kuwaahidi kuwapa ufumbuzi licha ya kuwa kuna mengi tayari ameshawafanyia wananchi wake.
Post a Comment