0
Mgombea nafasi ya kupeperusha bendera ya chama cha mapinduzi katika nafasi ya ubunge ndani ya jimbo la moshi mjini.


 Davis Mosha akisalimiana na mmoja wa wajumbe wa UWT Wilaya ya Moshi Mjini.

Mtoto wa kiboriloni na Tumaini jipya la wakazi wa moshi mjini ndugu Davis Mosha alipowasili leo katika uchaguzi wa kuchagua madiwani wa Viti maalumu kupitia ccm ndani ya Moshi mjini. 

 Davis mosha akibadilishana mawazo na Mtia nia mwenzake wa nafasi ya Ubunge jimbo la Moshi mjini Ndugu Amani Ngowi wakiwa Pamoja na Kada wa ccm Ndugu Makwaiya


Devis alikua na watia nia wengine wa jimbo hilo. Kuwasili kwake kulipelekea usikuvu kupotea na kila mtu akitaka kusalimiana nae huku wazee na kina mama wakishindwa kujizuia na kumuomba asikate tamaa alikomboe jimbo. 


 Mmoja wa wanawake ambaye alishindwa zuia hisia zake na kujikuta akimuomba Ndugu Davis Mosha Alikomboe jimbo la Moshi akipata nafasi.

 Hata hivyo Devis hakusita kuwapa moyo vijana waliojitokeza kuwania nafasi za udiwani wa viti maalum na alionekana akiwaombea kwa Mungu baadhi wenye hofu kabla ya Uchaguzi. 

 "Aika Mae" (Asante Mama) Ni kama vile Ndugu Davis Mosha akimjibu mama huyo


Ndugi Davis Mosha akimuombea mmoja wa wagombea wa nafasi ya viti maalum Jimbo la Moshi mjini.


Davis Mosha akisalimiana na mmoja wa watia nia wa nafasi ya Ubunge ndani ya jimbo la moshi mjini ndugu Khalifa Kiwango katika ukumbi wa ccm Mkoa - Moshi.

 Mgombea nafasi ya Ubunge kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi Ndugu Devis Mosha akiwa na Wagombea wenzake wanaoomba pamoja ridhaa ya kuwakilisha chama hicho katika nafasi ya ubunge.

 Davis Mosha akiwa na Wagombea wenzake ambao wameomba nafasi pamoja wa kuchaguliwa kupeperusha bendera ya ccm ndani ya jimbo la Moshi.

Post a Comment

 
Top