Kushoto ni Raymond balozi wa vijana wa Tanzania kwenye jumuiya ya Afrika mashariki akiwa na Edgar Mosha mwanafunzi Mtanzania aliyekuwa Uingereza kufanya majaribio na Academy ya klabu ya Chelsea akiwa na baba yake David Mosha “The C.E.O” aliyewahi kuwa makamu mkiti klabu ya Yanga ndani ya studio za VOA Washington Dc ikiwa ni sehemu ya ziara yake nchini Marekani.
Kulia ni mkuu wa idhaa ya Kiswahili akiwa na Davis Mosha , Edgar na Julieth Luangissa katika ofisi za VOA.
Davis Mosha akifanya mahojiano na VOA.Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com
Post a Comment