Ndani ya Jimbo la Moshi mjini Leo Tarehe 23/07/2014 ndio siku ambayo chama cha mapinduzi kimepuliza kipenga cha wagombea wake wanaoomba ridhaa ya kupeperusha bendera ya CCM katika kiti cha ubunge kuanza kuomba kura kwa wanachama ndani ya kata 21 za Manispaa ya Moshi. Ratiba ilianzia Shirimatunda na kata ya Soweto. Wagombea 12 wameomba ridhaa hiyo kati ya wagombea hao yupo Kijana wa Kiboriloni na Mfanyabiashara maarufu Ndugu Davis mosha.
Davis Mosha baada ya kuona wananchi wa Moshi bado wanasuasua katika kupatiwa maendeleo huku Moshi ikiwa moja ya miji yenye vyanzo vingi vya mapato Tanzania akaona ni vyema kuomba ridhaa hiyo ili ashirikiane na wananchi wa Moshi kuleta Maendeleo.
DAVIS MOSHA AKITOKA KATIKA OFISI YA CCM SHIRIMATUNDA KWA KUKIMBIA KUELEKEA KATIKA MKUTANO KUZUNGUMZA NA WANACHAMA.
MGOMBEA NAFASI YA UBUNGE NDANI YA CCM MH. DAVIS MOSHA AKIZUNGUMZA NA WANACHAMA WA SHIRIMATUNDA.
MH. DAVIS MOSHA AKISIKILIZA SWALI KUTOKA KWA MWANACHAMA
MH. DAVIS MOSHA AKIJIBU SWALI ALILOULIZWA NA MWANACHAMA
MH. DAVIS MOSHA AKIELEZA MIKAKATI YA MAENDELEO IWAPO WANACHAMA WATAMPA RIDHAA YA KUWAKILISHA CHAMA KATIKA UCHAGUZI MKUU.
MWANACHAMA WA KATA YA SHIRIMATUNDA AKIMUULIZA SWALI MH. DAVIS MOSHA
MH. DAVIS MOSHA AKIZUNGUMZA NA WANACHAMA WA CCM
WANACHAMA WA CCM WAKIFUATILIA MKUTANO
MH. DAVIS MOSHA AKISIKILIZA SWALI TOKA KWA MWANACHAMA WA CCM
MH. DAVIS MOSHA AKITETA JAMBO NA MWANACHAMA BAADA YA KUMALIZA KUZUNGUMZA NA WANACHAMA.
MH. DAVIS MOSHA AKIINGIA KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA KORONGONI NDANI YA KATA YA SOWETO.
.MH. DAVIS MOSHA AKISALIMIANA NA WAGOMBEA WENZAKE WALIPOKUTANA KATIKA SHULE YA SEKONDARI KORONGONI KATA YA SOWETO
MH. DAVIS MOSHA AKIWA NA WAGOMBEA WENZAKE KATIKA MKUTANO NDANI YA SHULE YA SEKONDARI YA KORONGONI ILIYOPO KATA YA SOWETO
Post a Comment