| Mwenyekiti wa wajumbe Mkoani Kilimanjaro (kushoto) akimkaribisha Bwana Davis Mosha (katikati) katika kikao chao |
| Davis Mosha akizungumza na wajumbe wake |
| Davis Mosha akisikiliza baadhi ya kero wapatazo wajumbe |
| Mjumbe akitoa akizungumza matatizo wayapatayo pindi wawapo mtaani kunadi sera za mgombe mbunge wao |
| Bwana Davis Mosha akiwaaga wajumbe wake baada ya kikao |

Post a Comment