| Davis Mosha akitupa taka kwenye gari la Manispaa |
| Davis Mosha akichoma taka akiwa pamoja na wananchi kata ya Shaurimoyo |
| Baadhi ya wananchi wa Moshi Manispaa wakifanya usafi maeneo ya Shaurimoyo |
| Davis Mosha akifanya usafi akiwa pamoja na wananchi wa kata ya Shaurimoyo |
| Davis Mosha (kushoto) akiwa pamoja na Mkuu wa Wilaya (kulia) Bwana Novartus Makunga wakizungumza |
| Baadhi ya wananchi wakifanya usafi wakiwa pamoja na viongozi wa Manispaa |
| Afisa mkuu wa afya Manispaa ya Moshi mjini Bwana Sebastian Mgeta akihojiwa na waandishi wa habari |

Post a Comment