Davis Mosha akitupa taka kwenye gari la Manispaa |
Davis Mosha akichoma taka akiwa pamoja na wananchi kata ya Shaurimoyo |
Baadhi ya wananchi wa Moshi Manispaa wakifanya usafi maeneo ya Shaurimoyo |
Davis Mosha akifanya usafi akiwa pamoja na wananchi wa kata ya Shaurimoyo |
Davis Mosha (kushoto) akiwa pamoja na Mkuu wa Wilaya (kulia) Bwana Novartus Makunga wakizungumza |
Baadhi ya wananchi wakifanya usafi wakiwa pamoja na viongozi wa Manispaa |
Afisa mkuu wa afya Manispaa ya Moshi mjini Bwana Sebastian Mgeta akihojiwa na waandishi wa habari |
Post a Comment