Mwenyekiti wa wajumbe Mkoani Kilimanjaro (kushoto) akimkaribisha Bwana Davis Mosha (katikati) katika kikao chao |
Davis Mosha akizungumza na wajumbe wake |
Davis Mosha akisikiliza baadhi ya kero wapatazo wajumbe |
Mjumbe akitoa akizungumza matatizo wayapatayo pindi wawapo mtaani kunadi sera za mgombe mbunge wao |
Bwana Davis Mosha akiwaaga wajumbe wake baada ya kikao |
Post a Comment