0
 Mgombea Ubunge kupitia Tiketi ya chama cha mapinduzi ndani ya Jimbo la Moshi Mjini Mh. Davis Mosha amemtembelea Mfanyabiashara ndani ya Moshi mjini ndugu Vicent Lasway nyumbani kwake kumpa pole kwa msiba wa baba yake. Baba mzazi wa vicent Lasway anatarajiwa kuzikwa leo nyumbani kwake Rombo.


Davis Mosha akisalimiana na waombolezaji











Mh. davis Mosha akijaza kitabu cha rambirambi


Mh. Davis Mosha akimfariji rafiki yake Vicent Lasway nyumbani kwake Shant town mjini Moshi.





Post a Comment

 
Top