Mh. Davis Mosha akipandisha bendera kama ishara tosha ya kuzindua tawi. |
Wananchi wakiwa tayari kwa kumpokea Mh. Davis Mosha kwa ajili ya kufungua tawi lao. |
Mgombea Udiwani wa Kata ya Msaranga Mh. Amani Ngowi akiongea na wana tawi. |
Davis Mosha akishukuru ana tawi kwa kukijenga chama baada ya ufunguzi. |
Mh Davis Mosha akipandisha bendera kama ishara ya kuzindua tawi |
Mh. Davis Mosha akizindua tawi la pili |
Davis Mosha akibebwa na baadhi ya wanachama wa CCM
Mh. Davis Mosha akiwa amebebwa na wanachama wa CCM baada ya kuzindua matawi ya katika kata ya Msaranga. |
Post a Comment